Usimamizi wa Mikopo
Angalia taarifa za mkopo, kiasi, riba, muda na deni lililobaki.
Tunawawezesha wajasiriamali kufuatilia taarifa za mikopo, ratiba za marejesho na malipo kwa urahisi. Bexa inaunganisha wateja, maafisa wa mikopo na matawi katika huduma moja ya kisasa.

Taarifa zilizo wazi kwa wateja na zana rahisi za kazi kwa timu inayosimamia mikopo na marejesho.
Angalia taarifa za mkopo, kiasi, riba, muda na deni lililobaki.
Fuatilia malipo na ratiba ya marejesho ya kila mkopo.
Wateja hupata taarifa muhimu za mikopo kupitia app yao.
Muhtasari wa makusanyo, mikopo na utendaji wa kila siku.
Wasaidie maafisa wa mikopo kufanya kazi kwa mpangilio mzuri.
Fuatilia taarifa kwa tawi husika kulingana na ruhusa za mtumiaji.
Ujumbe na arifa muhimu za huduma na marejesho.
Watumiaji huingia kupitia akaunti zao na ruhusa zinazohusika.
Kila taarifa mahali pake, kwa urahisi.
Bexa Microfinance inatoa huduma ndogo za fedha kwa kuzingatia taarifa sahihi, uwazi wa mikopo na ufuatiliaji wa marejesho. Kupitia app yetu, mteja anaweza kuona maendeleo ya mkopo wake bila kutegemea karatasi au kurudi ofisini kila mara kwa taarifa.
Kwa upande wa wafanyakazi, mfumo unasaidia kusimamia wateja, matawi, mikopo, marejesho na ripoti kwa njia iliyo wazi na yenye mpangilio.
Hizi ni picha mpya za mfumo wetu: kutoka ukurasa mkuu wa Agent hadi mikopo, ripoti na usajili wa wateja.
Picha za mfano wa mfumo. Taarifa binafsi zimefichwa kwenye picha za mikopo.

Kila mtumiaji hupata taarifa na kazi zinazomhusu kulingana na akaunti yake.
Angalia mkopo, salio, ratiba ya marejesho na taarifa za akaunti kupitia app.
Simamia wateja na mikopo, rekodi marejesho na angalia ripoti za shughuli.
Fuatilia taarifa za matawi, maombi, marejesho na utendaji wa timu.
Taarifa muhimu za mikopo kwa wateja; zana za kazi kwa timu ya Bexa.
APK ya wafanyakazi bado haijawekwa kwenye server. Tafadhali wasiliana na Bexa kwa msaada.
Una swali kuhusu taarifa za mkopo, marejesho au kutumia app? Wasiliana nasi kupitia mawasiliano rasmi.